Maafisa wakiwasajili wananchi katika ofisi ya Magharibi "B"

Mwananchi akichukuliwa alama za vidole (FINGER PRINT)

Mwananchi Akifanyiwa hatua ya mwanzo ya kuimarisha taarifa zake.

Usajili wa Vizazi Matemwe Siku ya Afrika ya Usajili wa Kiraia na Takwimu za Kimaisha

Usajili wa Vizazi Matemwe Siku ya Afrika ya Usajili wa Kiraia na Takwimu za Kimaisha

Rais Dkt. Shein Azindua Vituo vya Mfumo wa Kielektroni wa Kusajili Wakaazi wa Zanzibar (E-ID Card)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Shein Azindua Vituo vya Mfumo wa Kielektroni wa Kusajili Wakaazi wa Zanzibar…

Dk. Shein kuzindua uimarishwaji ZAN ID

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa mfumo…

Wazanzibari Sasa Kutambuliwa Kidigitali (E-ID Card)

MWENDO ni wa kidigitali! Hivyo ndivyo unaweza kuelezea baada ya Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar kuamua kuingia kwenye…

Wakala wa Usajili Zanzibar Yafanikiwa Kuhamasisha Matumizi ya Kitambulisho cha Mkaazi

Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar, imefanikiwa kuwahamasisha wananchi na taasisi mbalimbali za Serikali na zisizo za…

Vizazi

Jukumu la Mzazi, Mlezi au Mtu mwenye dhamana ya mtoto kusajii mtoto kwa wakala na msajili kutoa shahada za kuzaliwa (Vyeti)

Soma Zaidi Vizazi

Utambulisho

Wakala itasajili wafuatao: mzanzibari mkaazi; asiyekuwa mzanzibari; mkaazi aliye chini ya sharia za uhamiaji za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Soma Zaidi Utambulisho

Ndoa

KUOA NA KUOLEWA NI BARAKA HIVYO NI MUHIMU SANA KUSAJILI NDOA.

Soma Zaidi Ndoa

Vifo

Wakala atasajili kifo na ataingiza katika rejista, au atasababisha kuingizwa taarifa za kifo kilichotangazwa

Soma Zaidi Vifo