Gharama
-
Usajili wa Cheti cha Ndoa:
Bei : 20,000/= (Tzs)
-
Buku La Ndoa:
Bei : 125,000/= (Tzs)
-
Cheti cha kutokuwa na Ndoa:
Bei : 20,000/= (Tzs)
-
Cheti kilichopotea au kuharibika:
Bei : 20,000/= (Tzs)
-
Kurekebisha herufi:
Bei : 20,000/= (Tzs)
-
Marekebisho:
Bei : 20,000/= (Tzs)
Ndoa
Ndoa ni utaratibu wa kisheria ambao mwanamke na mwanamme kwa ridhaa zao kwa kuamua kukaa pamoja katika maisha.
Utaratibu Ndani YA wakati:
- Tangazo la ndoa (notification)
- Kuwasilisha vivuli vya Vitambulisho vya Mume na Mke, kitambulisho kinaweza kuwa:
- Mzanzibari Mkaazi
- Mtanzania (NIDA)
- Leseni ya Udereva
- Hati ya Kusafiria
- Kitambulisho cha Mpiga Kura
- Vitambulisho vya Mashahidi wawili
- Kwa aliepewa idhini ya kuoa anatakiwa aende na nakala ya hati ya uwakala (power of attoney)
Utaratibu Nje Ya Wakati:
- Tangazo la ndoa (notification)
- Kwa Wazanzibari wakaazi ni vitambulisho vya Mzanzibari vya mke na mume au vyeti vya kuzaliwa au barua ya uthibitisho kutoka kwa sheha ambae ndoa imefungwa..
- Kwa mkaazi asiyekua Mzanzibari aende na kitambulisho cha sehemu au nchi aliyotokea au barua kutoka kwa Mkuu wa Mkoa.
- Kwa aliepewa idhini ya kuoa anatakiwa aende na nakala ya hati ya uwakala (power of attoney)